Jengo lililo na mgahawa maarufu wa Java House katika mtaa wa Kileleshwa, Nairobi umebomolewa katika shughuli ya bomoa bomoa ambayo imeanza mapema leo asubuhi. Shughuli hiyo inadaiwa kuendeshwa na ...