Mamia ya wachuuzi waliokasirika wamefanya maandamano katika barabara za eneo la Eastleigh jijini Nairobi ili kupinga kuvunjwa kwa vibanda vyao. Usiku kucha maafisa wa polisi waliharibu vibanda ...