Shughuli ya kuondoa wakaazi kwa lazima imeanza katika mtaa wa mabanda wa Kibera - Nairobi Kenya. Oparesheni hiyo imeendeshwa chini ya ulinzi mkali huku maafisa wa usalama wakishika doria wakati ...
Maelezo ya sauti, Wakristo na Waislamu waonyesha umoja Kibera Kenya 23 Septemba 2016 Makanisa na misikiti katika kitongoji duni cha kibera jijini Nairobi yanapata umbo jipya, baada ya kupakwa ...