Swahili Kwenye simu Wanjeshi wa Kenya wakipambana na Al Shabaab Wenyeji mjini Kismayo Somalia, wameambia BBC kuwa wapiganaji wa Al-Shabab wameanza kuondoka katika ngome yao ya mwisho ya Kismayo.
Kundi la wapigajani jihadi nchini Somalia al-Shabab limekiri kuhusika na shambulio lililotokea mwishoni mwa juma katika hoteli moja kwenye mji wa bandari Kismayo Somalia. Mtandao ulio na ...