Kwa muda usiokuwa chini ya miongo mitatu sasa, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kumekosa utulivu na kushuhudiwa mauaji ya kutisha baina ya vikundi vinavyopingana na Serikali.