Baada ya kutangazwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa Uganda wa Januari 14, Rais Yoweri Museveni anaelekea kukaa madarakani kwa muda wa miaka 40 - tayari muda mrefu kuliko rais mwingine yeyote katika ...
Museveni alitoa picha kubwa kwa raia wa Uganda kuwa mleta amani na anawakumbusha fursa alizoziibua. Rais anatambulika kama baba na babu wa taifa hilo. Vijana wengi wa Uganda wanamuita jina la ...