Maelezo ya picha, Hii ilikuwa ni sura ya vipimo vya mimba baina ya miaka ya 1930 hadi miaka ya 1970 28 Mei 2019 Chura huyo huyu wa Kiafrika aliishi kwa maisha ya amani katika maji tulivu ya kusini ...
Wanasayansi kwa sasa wanatufa katika vidimbwi vya maji mbali na mito kwa chura wa kike ambaye atajamiana na chura huyo ili kuhifadhi kizazi hicho. ''Hatutaki yeye apoteze matumaini. lakini ...