Lakini hali ni tofauti katika eneo la stone town Zanzibar, ambapo kukutana na paka kila kona ni jambo la kawaida tu. Mwandishi wa BBC, Esther Namuhisa na Eagan Salla wametembelea visiwani Zanzibar ...