Dorothy Semu ni mmoja wa wanasiasa machachari wanawake akiwa mwanamama anayeongoza ACT Wazalendo, aliwabwaga wanaume kadhaa walokuwa wakisaka nafasi hiyo. Anaongeza kukuru kakara za kisiasa kwenye ...