Kumbe ni ule uovu unatembea kwenye damu ya baba yako. Mfano, kwenye maandiko ya Mungu inatajwa baraka za Ibrahimu, Isaka na Yakobo. Lakini ukirudi utagundua kuna mambo yalikuwa siyo mazuri yaliyokuwa ...