Waziri wa Ardhi, Nyumbani na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi. WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM wamebainisha kukubali na kuridhishwa na uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Stephen ...
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM wamebainisha kukubali na kuridhishwa na uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Stephen Wasira katika uchaguzi uliofanyika jijini Dodoma.