ameshawasilisha hilo katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni ya chanjo hiyo mjini Musoma hivi karibuni. "Mkoa wetu una mifugo 4,745,411, ng'ombe ni 1,451,484. Miongoni mwa mifugo hiyo, mbuzi ni 707,442, ...
Mmoja wa wajasiriamali anayeuza sare za CCM, Trabo Bwenda, alisema ametokea mkoani Morogoro kwa ajili ya kuchangamkia fursa za mkutano huo kwa kuwa wajumbe wanahitaji kuwa na sare ili kushiriki vikao ...