MWANA wa Mfalme Rahim Al-Hussaini ameteuliwa kuwa Imam wa 50 wa madhehebu ya Ismailia kufuatia kifo cha baba yake Mtukufu Aga Khan IV, ambaye alifariki dunia Februari 4, 2025, jijini Lisbon,Ureno.