Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Said Mshana, amempokea Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat, aliyewasili nchini Tanzania alfajiri ya Februari 8, 2 ...
Baada ya kung'ara kimataifa, mshambuliaji nyota wa Tanzania, Selemani Mwalimu (Gomez), anayekipiga katika Klabu ya Wydad Athletic Casablanca ya Morocco, ameendelea kuwa chachu ya matumaini kwa vijana ...
Licha ya Serikali kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kwa kutumia kodi na mikopo, ushiriki wa sekta binafsi umetajwa ...
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Kampuni ya Vodacom Tanzania, Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) pamoja na Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania ...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko unaoshukiwa kuwa wa virusi vya ugonjwa wa Marburg umewaua watu wanane katika mkoa wa Kagera Kaskazini magharibi mwa Tanzania. Taarifa ya shirika hilo ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewataka wavuvi wa Ziwa Victoria kuchukua tahadhari kwa kutofika kwenye mipaka ya nchi jirani ili kuepusha mitafaruku ...