KESI ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine kilo 34.89 inayomkabili aliyekuwa Kocha wa Makipa wa Klabu ya Simba, ...
SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limesema takribani watu 900 wameuawa na wengine 2,900 kujeruhiwa kutokana na mapigano ...
Vyanzo vya Umoja wa Mataifa vinasema Uganda kupeleka wanajeshi wa ziada kaskazini mwa Goma ni kuunga mkono jeshi la Rais wa ...
NITAKUAMBIA kwa nini. Mara ya mwisho kuona kipindi cha TV kama Bongo Star Search (BSS) kinaanzia Tanzania kisha kinakuza mbawa zake kwenda nje ya mipaka ya TZ ni lini? Mimi hata sikumbuki.