Ingawa Mkataba wa Hali ya Hewa wa Glasgow ni jaribio kubwa la kudhibiti ongezeko la joto duniani, mzozo wa dakika za mwisho juu ya makaa bila shaka umegubika mpango huo. India iliungana na China ...
Omap ikiwa na maana ya 'okoa mazingira na pesa', ni aina ya jiko lililobuniwa na Shabani Machemba kutoka jijini Mwanza, Tanzania . Jiko hilo linalotumia mawe ambayo ni mabaki ya voclano ambayo ni ...