Kwa Lucy Shirima ulemavu haukuwa sababu ya kukata kiu yake ya kuwa mwanamichezo bingwa wa tennis duniani akimhusudu Mjapani ...
Kwa Lucy Shirima ulemavu haukuwa sababu ya kukata kiu yake ya kuwa mwanamichezo bingwa wa tennis duniani akimhusudu Mjapani ...
Kiongozi huyo amesubiriwa kwa hamu kubwa kushiriki kwenye mkutano huo, Dar es Salaam, lakini hajaonekana. Mitandaoni wengi wanaeleza nia yao ya kumwoana ana kwa ana, hasa mwonekano wa mavazi yake ...
Mbali na Mbowe na Lissu, mgombea mwingine wa nafasi hiyo ya uenyekiti ni Odero. Ahadi zake ni pamoja na kuwawezesha watanzania kupata mahitaji manne muhimu ikiwamo uwezo wa kupata chakula bora, mavazi ...
Hapa tunazungumzia mapambo kama makeup inayohusisha vipodozi kadha wa kadha kwenye ngozi ya uso, kubandika nywele za bandia, kope, kucha na wakati mwingine nywele zao kupakwa dawa zenye kemikali. Hili ...
Hapa ni jinsi ya kuvivaa na kuonekana stylish: Pochi la kiunoni la kisasa: Vipochi hivi vinaweza kuwa vya ngozi, kitambaa, au vifaa vya kisasa vya plastiki. Vipochi vya ngozi vinavyopatikana na rangi ...
Sambamba na hilo pia mnaweza kutumia rangi za aina moja wakati mnachahua mavazi ya kuvaa. Kuvaa nguo zinazofanana na mpenzi wako au rafiki yako haijalishi ni sehemu gani muhimu mnavaa mavazi hayo.
Salmin Issa 'Kusah' alikaririwa wamefunga ndoa na mzazi mwenzie huyo baada ya kusambaa kwa picha zilizoonyesha wamevaa mavazi ya ndoa, sasa amekuja kivingine kwa kukanusha kuwa hajawahi kumuoa. Kusah ...
"Siyo tu kwamba hali hizi mbaya na za hatari zitatatiza sana mapambano dhidi ya moto unaoendelea, lakini zitafanya kuzka kwa moto mpya mkubwa zaidi," mamlaka ya hali ya hewa ya Marekani inaonya.
Tumemaliza msimu wa sherehe za Krismasi na Mwaka Mpya, lakini wazazi bado hawajasahau makovu ya gharama za mahafali ya wahitimu, huku suala la majoho kwa wahitimu likizidi kuchukua sura mpya katika ...