Dar es Salaam. Maduka ya chini ya majengo ya ghorofa (underground) yanayozunguka Soko la Kariakoo yanaweza kuleta changamoto mbalimbali za kiafya na kiusalama kwa wauzaji na wateja. Mwananchi imefanya ...
SHEKHE Ponda Issa Ponda na wenzake 11 wameomba mahakama wafanye marekebisho kwenye hati ya madai kumwondoa Yustadhi Twalib Twalib katika kesi ya kikatiba waliyofungua kupinga kuwa chini Baraza Kuu la ...
Makundi yenye silaha yanadhibiti asilimia 85 ya mji wa Port-au-Prince Kwa mujibu wa UNICEF mji mkuu wa Haiti, Port-au-Prince, kwa sasa uko chini ya udhibiti wa makundi yenye silaha, huku yakiripotiwa ...
katika Ligi ya Premia hadi sasa msimu huu – yakiwa ya chini kutoka 20 yaliofanyika katika hatua sawa muhula uliopita - kulingana na wakuu wa ligi. Hatua nne zisizo sahihi za VAR na uingiliaji ...
Viongozi wa mataifa ya Bahari ya Baltiki na Katibu Mkuu wa NATO Mark Rutte wamethibitisha kuwa wataongeza hatua za kulinda miundombinu muhimu ya chini ya bahari katika eneo hilo. Uamuzi huo ...
Deogratius Ndejembi. “Nimemsikiliza Mhe. Ndejembi akieleza mafanikio makubwa yaliyofikiwa hapa Chamwino, na ni dhahiri kwamba Serikali ya CCM chini ya Rais Samia imefanya kazi kubwa katika kuboresha ...
Mawaziri wa Ulinzi Nakatani Gen wa Japani na Pete Hegseth wa Marekani wamekubaliana kuimarisha ushirikiano wa pande mbili chini ya utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump. Nakatani na Pete ...
baada ya majeshi ya DRC kuutoroka, lakini baadaye waliondoshwa na kikosi maalumu cha kulinda amani cha kikanda kilichokuwa chini ya mwamvuli wa MONUSCO ambacho kilijumuisha wanajeshi wa Tanzania ...
Licha ya msisitizo huo wa kanuni na sera lakini bado klabu 13 zinazoshiriki Ligi Kuu Bara zimeshindwa kuzingatia hilo kwa unyoofu wake. Klabu tatu ambazo zimeonyesha kufuata kanuni na sera hizo ni ...
Yanaitwa yasiyopatiwa kipaumbele kwa sababu kihistoria kwenye ajenda ya magonjwa duniani, yamekuwa yakipatiwa nafasi ya chini, na hata kama yakiwekwa juu, ufadhili bado ni changamoto. Magonjwa hayo ni ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果