MKOA wa Shinyanga, umesherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa kupanda miti 500 katika shule ya msingi Mapinduzi, iliyoko Manispaa ya Shinyanga, mkoani hapa. Upandaji huo ...