Alitaja sekta zingime ni uvuvi, kilimo cha mwani na mazao ya baharini, hivyo chuo hicho ni muhimu na nchi itapata wataalam wa uvuvi na mazao ya bahari. Alisema sekta nyingine ni bandari, mafuta na ...
Alizitaja sekta hizo kuu nane za uchumi wa buluu zenye mafanikio kuwa ni pamoja na uvuvi na ufugaji wa mazao ya baharini, ukulima wa mwani, utalii, bandari na biashara za usafiri wa majini, mafuta na ...
Kwa upande wa elimu ya kulima mwani na kuusarifu (kuchakata) wanawake ni 7,319 na wanaume ni 2,186. Pia, wameunganishwa na wajasiriamali na masoko ikiwa wanawake 445 na wanaume 173. Akizungumza kuhusu ...