OFISI ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, imewaita waombaji waliofaulu usaili wa nafasi za kazi mbalimbali kuchukua barua zao za kupangiwa vituo vyao ndani ya siku saba baada ya ...
Hoja hiyo imekuja wakati Serikali ikiboresha mitalaa na Sera ya Elimu ikilenga kuwapa nafasi wanafunzi nafasi ya kuchangua fani za kusomea zitakazowawezesha kujiajiri au kuajiriwa.
Dk. Mapana alitoa wito huo, Februari 7, 2025, jijini Dar es Salaam, wakati akizindua Kamati Kuu ya Uendeshaji wa Tuzo za Muziki wa Injili Tanzania (Tanzania Gospel Music Awards – TMGA), akibainisha ...
“Nitumie nafasi hii kama msemaji wa chama kwamba CCM haikusiki na jambo lolote na uchaguzi wa CHADEMA. CCM tunayo majukumu mengi ya kufanya na viongozi wote na watendaji mawazo yetu yote, akili zetu ...