DAR ES SALAAM: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema baada ya kupata uhuru mwaka 1960, Nchi za Afrika zimepiga hatua kubwa katika kuzalisha na kusambaza umeme kwa wananchi ...