Mgogoro wa Sudan unatajwa kama "mgogoro mkubwa zaidi wa kibinadamu kuwahi kurekodiwa" na sasa vita vinavyoendelea kati ya vikosi vya serikali na waasi wenye silaha nchini Sudan vimehamia kwenye ...
Dodoma. Serikali imeanzisha vituo vya umahiri 13 kati ya vituo 13 sawa na asilimia 100 ya lengo la miaka mitano. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga leo ...
DODOMA: NAIBU WAZIRI Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dk. Festo Dugange, ameagiza ofisi za halmashauri kuhakikisha vifaa vya kujifungulia vinapatikana katika vituo vya afya. Akijibu swali bungeni mjini ...
Akaunti zenye ushawishi zinazohusishwa na vikundi vya kisiasa zilisambaza picha na video za uongo ili kusukuma mbele ajenda zao, kuleta mkanganyiko miongoni mwa jamii za wenyeji na waangalizi wa ...
SERIKALI ya Mkoa wa Kaskazini Pemba, imewataka Wananchi na Vikundi vya Kijamii na Ushirika Wilaya ya Wete, kuitumia vema Elimu ya Fedha na Huduma Jumuishi za Kibenki zikiwemo za bima na mikopo nafuu ...
Waziri Mkuu wa Mauritius, Navin Ramgoolam amesema siku ya Jumanne kwamba amefikia makubaliano mapya "tayari kutiwa saini" na Uingereza juu ya udhibiti wa Visiwa vya Chagos, visiwa vya kimkakati ...
AFP - - Aidha ameeleza kwamba iwapo hali itaendelea kama ilivyo kwa sasa, kuna athari za vita hivyo kusambaa na kuwa vya kikanda. Rais Ndayishimiye vilevile ameeleza kwamba iwapo mambo yataendelea ...
MADINI muhimu au kitaalamu ‘critical minerals’ ambayo ni pamoja na shaba, lithiamu, nikeli, kobalti na ‘rare earth elements’ ni malighafi inayohitajika mno duniani kwenye teknolojia za kielektroniki ...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wavuvi Zanzibar Omar Makame Mohamed akizungumza katika mkutano wa tathmini ya vifaa vya kutambua mwenenedo wa wavuvi baharini Zanzibar Unguja. Baada ya kufungwa vifaa maalumu ...