TIMU ya Taifa ya Zanzibar Heroes, imefanikiwa kubeba ubingwa wa Kombe la Mapinduzi 2025 baada ya kuifunga Burkina Faso mabao 2-1. Katika mchezo wa fainali uliochezwa leo Januari 13, 2025 kwenye Uwanja ...