Ameeleza kwamba TBT katika uimarishaji wa zao hilo, imeweka mikakati ya masoko ya chai akisema linahitaji uzalishaji wa kutosha na masoko ya kimkakati yaliyopo. “Pia tutajadili namna ya kuongeza ubora ...
WAKULIMA wa zao la pamba katika halmashauri ya Ushetu, mkoani Shinyanga, wameilalamikia mizani inayotumika kupima zao hilo, wakidai inawaingiza hasara. Wanadai kutofautiana kwa mizani na ile mikubwa ...