Akiwa mkuu wa muungano wa Congo River Alliance (CRA) ambao ni washirika wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda, Corneille Nangaa ...
Hatua hiyo ya waasi inakuja licha ya wito wa kimataifa wa kusitisha mapigano na kuanzishwa tena kwa mazungumzo ya amani.
Waasi wa M23 sasa wako katika maeneo mawili y mko wa Kivu Kusini, ambayo ni maeneo ya Kalehe na Kabare, ambapo sasa wanakalia ...
Waziri Mkuu wa DRC Judith Suminwa Tuluka yuko jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kumwakilisha rais Felix Thisekedi katika ...
Guverinoma y'u Rwanda iravuga ko imvugo za Perezida w'u Burundi, Evariste Ndayishimiye zishinja u Rwanda ibirego birimo ...
Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Wakati Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ikiapa kuurejesha Mji wa Goma, jiji lenye takriban watu milioni 3, kutoka mikononi mwa waasi wa M23, imeendelea ...
DRC na Rwanda, wamekuwa wakilaumiana kwa mzozo ulioanza tena Mashariki mwa Congo, huku waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda, wakiuteka mji mkuu wa mkoa Goma na kuendelea katika maeneo mengine zaidi ...
Mkutano wa kilele wa viongozi wa Umoja wa Afrika (AU) unaofanyika Ethiopia utajadili ajenda ya mzozo wa mashariki mwa Congo ...
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) imemaliza kusikiliza hoja za pande mbili katika kesi iliyofunguliwa na Jamhuri ya Kidemorasia ya Congo (DRC) dhidi ya Rwanda kuhusiana ...