Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Said Mshana, amempokea Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat, aliyewasili nchini Tanzania alfajiri ya Februari 8, 2 ...
Ninapoondoka Tanzania, napenda kumshukuru kila Mtanzania kwa kunikaribisha mimi na mke wangu Linda katika nchi yenu nzuri. Toka tulipowasili humu nchini mwezi Januari 2023, kumekuwa na matukio mengi ...