Picha ya mama yake na dada zake wakiwa wamevalia mavazi ya kuvutia kwa rangi . Mavazi hayo ya asili asili ni sketi ya kufunga, kitambaa cha kichwa cha kufunga na blauzi kubwa ambayo ni maarufu kwa ...
Mazingira hayo ya asili ni ya shambani katika kijiji kilichopo maili 10 , kaskazini mwa mji mkuu wa Zambia, Lusaka. Mara nyingi Bibi Chola hupigwa picha za mavazi yake yote ya kuvutia nje - na ...