JESHI la Polisi mkoani Mwanza limethibitisha kuua watu wawili wanaodaiwa kuwa ni majambazi, katika jaribio la kuiba nyumbani kwa mfanyabiashara, wakiwa wamevalia mavazi ya kike kuficha jinsia na ...
Katika mkutano huo wa siku mbili, kuanzia leo Jumatatu, Januari 27, 2025, unatanguliwa na mawaziri wa kisekta, na kesho wakuu ...
Sambamba na hilo pia mnaweza kutumia rangi za aina moja wakati mnachahua mavazi ya kuvaa. Kuvaa nguo zinazofanana na mpenzi wako au rafiki yako haijalishi ni sehemu gani muhimu mnavaa mavazi hayo.
Salmin Issa 'Kusah' alikaririwa wamefunga ndoa na mzazi mwenzie huyo baada ya kusambaa kwa picha zilizoonyesha wamevaa mavazi ya ndoa, sasa amekuja kivingine kwa kukanusha kuwa hajawahi kumuoa. Kusah ...
Daniel Chapo, 47, anakabiliwa na kibarua kikubwa ya kuliunganisha taifa. Na Asha Juma & Ambia Hirsi Mkataba wa kusitisha mapigano utatekelezwa kwa awamu kadhaa kwa mujibu wa maelezo yaliyokuwa ...
"Siyo tu kwamba hali hizi mbaya na za hatari zitatatiza sana mapambano dhidi ya moto unaoendelea, lakini zitafanya kuzka kwa moto mpya mkubwa zaidi," mamlaka ya hali ya hewa ya Marekani inaonya.
Tumemaliza msimu wa sherehe za Krismasi na Mwaka Mpya, lakini wazazi bado hawajasahau makovu ya gharama za mahafali ya wahitimu, huku suala la majoho kwa wahitimu likizidi kuchukua sura mpya katika ...
Aliruhusiwa mwaka 2020 na serikali ya Oman kurejea katika nchi hiyo ya asili ya familia yake kwa sababu ya umri wake. Kwa kipindi chote alichoishi Uingereza inaripotiwa kuwa, Jamshid aliishi kwa ...
WINGA wa Bayern Munich, Nestory Irankunda mwenye asili ya Tanzania ametolewa kwa mkopo na klabu hiyo kwenda Grasshopper Club Zurich ya Uswisi. Irankunda ni mzaliwa wa Tanzania mkoani Kigoma ambako ...
"Mimi nilitumia haki yangu kikatiba, nikachukua fomu na kujaza na kuirejesha ndani ya taratibu na hadi kufika kwenye usaili, ambapo suala hilo walinihoji na nikalitolea ufafanuzi kwamba mimi sina ...
Wanawake wengi waliozuiliwa kwa jela hii ni kutokana na uanaharakati wao ,kusambaza propaganda , kukosoa utawala wa nchi hiyo na pia madai ya kuhatarisha usalama wa taifa.