Amerika ya Kusini imekuwa uwanja wa vita kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na China, chini ya shinikizo kutoka Washington kuchagua kambi yake. Utawala wa Trump hadi sasa unatumia vitisho na ...
Tumeguswa na kauli aliyoitoa juzi Waziri Ofisi ya Rais (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa, akishangaa kuwapo kwa baadhi ya shule ambazo wanafunzi wake wanasomea chini ya mikorosho. Alisema hilo aliliona ...
SHEKHE Ponda Issa Ponda na wenzake 11 wameomba mahakama wafanye marekebisho kwenye hati ya madai kumwondoa Yustadhi Twalib Twalib katika kesi ya kikatiba waliyofungua kupinga kuwa chini Baraza Kuu la ...
Raila Odinga alijiondoa kwenye kinyang'anyiro alipopata matokeo ya chini. Safari ya aliyekuwa Waziri Mkuu nchini Kenya Raila Odinga kuwa Mwenyekiti wa Tume ya AUC inafikia kikomo, baada ya taifa ...
Mchengerwa amesema ni aibu kwa karne ya sasa kukuta wanafunzi wanasomea chini ya mikorosho wakati kuna baadhi ya wakurugenzi ambao wapo tayari kuhonga Sh20 milioni ili taarifa yake ipite, lakini ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, ameagiza tathmini ifanyike kubaini maeneo ambapo wanafunzi wanalazimika kusoma chini au kukaa chini ya miti. Pia, amewataka wakurugenzi wa ...
Tamko hilo chini ya Sheria ya Kudhibiti Nyama, ililotolewa kupitia Notisi ya Gazeti namba 977 la Januari 31, 2025, na Katibu wa Baraza la Mawaziri wa Kilimo na Maendeleo ya Mifugo Mutahi Kagwe ...
Katika mchezo wa leo ambao umeanza kwa kasi ya chini bila kushuhudia mashambulizi yoyote ya hatari huku timu hizo kila moja ikimsoma mwenzake, mambo yalibadilika ghafla kuanzia dakika ya 18 baada ya ...
TIMU za Taifa za Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys na ile ya chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, kila moja imepangwa kundi A na mwenyeji kwenye michuano ya AFCON kwa vijana itakayofanyika ...
Kihistoria hali ya uwepo wa mawasiliano duni kati ya watunga sera na wananchi pamoja na kukosekana kwa uwazi ni miongoni mwa mambo yanayochangia usimamizi wa kodi kutofanikiwa, kuwapo viwango vya ...