NAIBU Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, amesema ifikapo Januari 30, mwaka huu, mradi wa visima unaotekelezwa katika Mkoa wa Pwani utakamilika na kufikisha huduma ya maji katika maeneo ...