Pia, asasi hizo zimetangaza maandamano ya siku tatu mfululizo kwenye mpaka wa Congo na Rwanda kuanzia hii alhamisi, ili kupinga kile zinachokiita kuwa uvamizi wa Rwanda katika maeneo ya mashariki ...
Stars ilianza michuano ya mwaka huu kwa kufungwa mabao 3-0 na Morocco kabla ya kuja kutoka sare ya bao 1-1 na Zambia na kutoka suluhu na DR Congo. Matokeo hayo, yameifanya Stars kumaliza Kundi F ikiwa ...