Fanoos, taa ya mfano inayowakilisha mwanga, matumaini, na umoja, imekuwa ikisafiri katika nchi mbalimbali, ikionyesha mshikamano miongoni mwa jamii ya Ismaili duniani kote. Kuwasili kwake Tanzania ...
MKUTANO wa Wakuu wa Nchi wa Afrika Kuhusu Nishati unahitimishwa leo ukilenga kutoa azimio litakalowezesha Waafrika milioni 300 kufikishiwa huduma ya umeme ifikapo 2030. Jana ulitanguliwa na mawaziri ...
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wanakutana hivi leo mjini Brussels, Ubelgiji kuamua iwapo wanatakiwa kuendeleza vikwazo dhidi ya Urusi kutokana na uvamizi wake nchini Ukraine.
Rais wa Marekani Donald Trump amekashifu Umoja wa Ulaya wakati wa hotuba yake kuu ya kwanza kwa hadhira ya kimataifa tangu aanze muhula wake wa pili katika Ikulu ya White House. Katika hotuba ya ...